456音乐网
首页
最新搜索
4Handz(8秒前)
Netvoipriyatel(14秒前)
4WD(22秒前)
4i4(36秒前)
2Drops(50秒前)
bugAboo(51秒前)
2odd(1分钟前)
2Souls(1分钟前)
2LSON(1分钟前)
2FAll(1分钟前)
Natalie Holt(1分钟前)
Multi-Story(1分钟前)
2KBlack(2分钟前)
何苡/章志杨(2分钟前)
2KE(2分钟前)
Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus) - Sauti Sol/RedFourth Chorus.lrc
LRC歌词
下载
[00:00.000] 作词 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza[00:01.000] 作曲 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza[00:25.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu[00:31.490]Ananipenda leo kuliko jana[00:35.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[00:42.490]Ananipenda leo kuliko jana[00:48.490]Kuliko Jana[00:51.490]Kuliko Jana[00:53.490]Yesu nipende leo kuliko jana[01:00.490]Kuliko Jana[01:03.490]Kuliko Jana[01:05.490]Yesu nipende leo kuliko jana[01:11.000]Sinakuomba Mungu awasamehe[01:17.490]Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema[01:23.490]Na maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibariki[01:35.490]Ujue binadamu ni waajabu sana[01:40.490]Walimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwika[01:47.490]Ujue binadamu ni waajabu sana[01:52.590]Walimsulubisha Yesu Messiah bila kusita[01:58.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wangu[02:03.590]Ananipenda leo kuliko jana[02:09.590]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[02:15.590]Ananipenda leo kuliko jana[02:21.490]Kuliko Jana[02:24.490]Kuliko Jana[02:27.490]Yesu nipende leo kuliko jana[02:33.490]Kuliko Jana[02:36.490]Kuliko Jana[02:39.490]Yesu nipende leo kuliko jana[02:45.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemea[02:51.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)[02:58.490]Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)[03:02.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)[03:08.490]Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)[03:14.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)[03:22.490]Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)[03:26.490]Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)[03:32.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu[03:38.490]Ananipenda leo kuliko jana[03:44.000]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[03:50.490]Ananipenda leo kuliko jana[03:55.490]Kuliko Jana[03:58.490]Kuliko Jana[04:01.490]Yesu nipende leo kuliko jana[04:07.490]Kuliko Jana[04:10.490]Kuliko Jana[04:13.490]Yesu nipende leo kuliko jana[04:19.490]Wewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)[04:24.490]Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondolea[04:31.000]Wewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)[04:36.590]Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea[04:42.490]Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wangu[04:47.590]Ananipenda leo kuliko jana[04:53.490]Baraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadiliki[04:59.490]Ananipenda leo kuliko jana
文本歌词
作词 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé Baraza 作曲 : RedFourth Chorus/Polycarp Otieno/Willis Chimano/Savara Mudigi/Bienaimé BarazaBwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wanguAnanipenda leo kuliko janaBaraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadilikiAnanipenda leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaSinakuomba Mungu awasameheWangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisemaNa maadui wangu nawaombe maisha marefu, wazidi kuona ukinibarikiUjue binadamu ni waajabu sanaWalimkana Yesu mara tatu kabla jogoo kuwikaUjue binadamu ni waajabu sanaWalimsulubisha Yesu Messiah bila kusitaBwana ni mwokozi wangu, Tena ni kiongozi wanguAnanipenda leo kuliko janaBaraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadilikiAnanipenda leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaWewe ndio nategemea, Kufa kupona baba nakutegemeaChochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooh oooh yeah)Wewe ndio nategemea, (amen) Kufa kupona baba nakutegemea (oh oh)Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (wewe, ndio nategemea)Wewe ndio nategemea, Kufa kupona ndio nategemea (Eh bwana)Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (Eh, maisha yangu yote)Wewe ndio nategemea, (kwa nguvu zangu zote), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)Chochote kitanikatsia, kuingia mbinguni utaniondolea (oooooooh)Bwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wanguAnanipenda leo kuliko janaBaraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadilikiAnanipenda leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaKuliko JanaKuliko JanaYesu nipende leo kuliko janaWewe ndio nategemea (wewe), kufa kupona baba nakutegemea (wewe)Chochote kitanikatsia (uh-huh), kuingia mbinguni utaniondoleaWewe ndio nategemea (oooh), kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)Chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondoleaBwana ni mwokozi wangu, Tena ni mkombozi wanguAnanipenda leo kuliko janaBaraka zake hazikwishi, si kama binadamu habadilikiAnanipenda leo kuliko jana
相关歌曲
Sauti Sol/RedFourth Chorus
1、Kuliko Jana (feat. RedFourth Chorus)
Sauti Sol/Aaron Rimbui
2、Kuliko Jana (feat. Aaron Rimbui)
RuskieBanana/DJ Styx 687
3、KULIKO JANA (feat. DJ STYX 687)
RuskieBanana/DJ Styx 687
4、Kuliko Jana (feat. DJ Styx 687)
随机推荐
Dj狗峰Remix
1、海在悲鸣码
王樾安
2、失语者
Relaxing Guru
3、Heavy Rain Sounds
周晓晓
4、不忘初心